Native Bible

Isaiah 10:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Piga kelele, ee Binti Galimu! Sikiliza, ee Laisha! Maskini Anathothi!

Isaiah 10:30 in English

Isaiah 10:30 · Berean Standard Bible

Cry aloud, O Daughter of Gallim! Listen, O Laishah! O wretched Anathoth!

Context

28Wanaingia Ayathi, wanapita katikati ya Migroni, wanahifadhi mahitaji huko Mikmashi. 29Wanavuka kivukoni, nao wanasema, “Tutapiga kambi huko Geba usiku kucha.” Rama inatetemeka; Gibea ya Sauli inakimbia. 30Piga kelele, ee Binti Galimu! Sikiliza, ee Laisha! Maskini Anathothi! 31Madmena inakimbia; watu wa Gebimu wanajificha. 32Siku hii ya leo watasimama Nobu; watatikisa ngumi zao kwa mlima wa Binti Sayuni, kwa kilima cha Yerusalemu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.