Native Bible

Isaiah 10:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wanavuka kivukoni, nao wanasema, “Tutapiga kambi huko Geba usiku kucha.” Rama inatetemeka; Gibea ya Sauli inakimbia.

Isaiah 10:29 in English

Isaiah 10:29 · Berean Standard Bible

They have crossed at the ford: “We will spend the night at Geba.” Ramah trembles; Gibeah of Saul flees.

Context

27Katika siku hiyo mzigo wao utainuliwa kutoka mabegani mwenu, na nira yao kutoka shingoni mwenu; nira itavunjwa kwa sababu ya kutiwa mafuta. 28Wanaingia Ayathi, wanapita katikati ya Migroni, wanahifadhi mahitaji huko Mikmashi. 29Wanavuka kivukoni, nao wanasema, “Tutapiga kambi huko Geba usiku kucha.” Rama inatetemeka; Gibea ya Sauli inakimbia. 30Piga kelele, ee Binti Galimu! Sikiliza, ee Laisha! Maskini Anathothi! 31Madmena inakimbia; watu wa Gebimu wanajificha.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.