Native Bible

Isaiah 1:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu mwenye nguvu atatoweka kama majani makavu yawakayo moto, na kazi yake kama cheche ya moto; vyote vitaungua pamoja, wala hakuna wa kuuzima huo moto.”

Isaiah 1:31 in English

Isaiah 1:31 · Berean Standard Bible

The strong man will become tinder and his work will be a spark; both will burn together, with no one to quench the flames.

Context

29“Mtaaibika kwa sababu ya hiyo mialoni ambayo mlifurahia, mtafadhaika kwa sababu ya bustani mlizozichagua. 30Mtakuwa kama mwaloni wenye majani yanayonyauka, kama bustani isiyokuwa na maji. 31Mtu mwenye nguvu atatoweka kama majani makavu yawakayo moto, na kazi yake kama cheche ya moto; vyote vitaungua pamoja, wala hakuna wa kuuzima huo moto.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.