Native Bible

Isaiah 1:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtakuwa kama mwaloni wenye majani yanayonyauka, kama bustani isiyokuwa na maji.

Isaiah 1:30 in English

Isaiah 1:30 · Berean Standard Bible

For you will become like an oak whose leaves are withered, like a garden without water.

Context

28Lakini waasi na wenye dhambi wote wataangamizwa, nao wanaomwacha Bwana wataangamia. 29“Mtaaibika kwa sababu ya hiyo mialoni ambayo mlifurahia, mtafadhaika kwa sababu ya bustani mlizozichagua. 30Mtakuwa kama mwaloni wenye majani yanayonyauka, kama bustani isiyokuwa na maji. 31Mtu mwenye nguvu atatoweka kama majani makavu yawakayo moto, na kazi yake kama cheche ya moto; vyote vitaungua pamoja, wala hakuna wa kuuzima huo moto.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.