Native Bible

Isaiah 1:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama mkikubali na kutii, mtakula mema ya nchi,

Isaiah 1:19 in English

Isaiah 1:19 · Berean Standard Bible

If you are willing and obedient, you will eat the best of the land.

Context

17jifunzeni kutenda mema! Tafuteni haki, watieni moyo walioonewa. Teteeni shauri la yatima, wateteeni wajane. 18“Njooni basi tuhojiane,” asema Bwana. “Ingawa dhambi zenu ni kama rangi nyekundu, zitakuwa nyeupe kama theluji; ingawa ni nyekundu sana kama damu, zitakuwa nyeupe kama sufu. 19Kama mkikubali na kutii, mtakula mema ya nchi, 20lakini kama mkikataa na kuasi, mtaangamizwa kwa upanga.” Kwa kuwa kinywa cha Bwana kimenena. 21Tazama jinsi mji uliokuwa mwaminifu umekuwa kahaba! Mwanzoni ulikuwa umejaa unyofu, haki ilikuwa inakaa ndani yake, lakini sasa ni wauaji!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.