Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Katika siku ile nitajibu,” asema Bwana, “nitajibu kwa anga, nazo anga zitajibu kwa nchi;

Hosea 2:21 in English

Hosea 2:21 · Berean Standard Bible

“On that day I will respond—” declares the LORD— “I will respond to the heavens, and they will respond to the earth.

Context

19Nitakuposa uwe wangu milele; nitakuposa kwa uadilifu na haki, kwa upendo na huruma. 20Nitakuposa kwa uaminifu, nawe utamkubali Bwana. 21“Katika siku ile nitajibu,” asema Bwana, “nitajibu kwa anga, nazo anga zitajibu kwa nchi; 22nayo nchi itajibu kwa nafaka, divai mpya na mafuta, navyo vitajibu kwa Yezreeli. 23Nitampanda katika nchi kwa ajili yangu mwenyewe; nami nitaonyesha pendo langu kwake yule ambaye nilimwita, ‘Si mpenzi wangu.*’ Nitawaambia wale walioitwa, ‘Sio watu wangu,’* ‘Ninyi ni watu wangu’; nao watasema, ‘Wewe ndiwe Mungu wangu.’ ”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.