Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

nayo nchi itajibu kwa nafaka, divai mpya na mafuta, navyo vitajibu kwa Yezreeli.

Hosea 2:22 in English

Hosea 2:22 · Berean Standard Bible

And the earth will respond to the grain, to the new wine and oil, and they will respond to Jezreel.*

Context

20Nitakuposa kwa uaminifu, nawe utamkubali Bwana. 21“Katika siku ile nitajibu,” asema Bwana, “nitajibu kwa anga, nazo anga zitajibu kwa nchi; 22nayo nchi itajibu kwa nafaka, divai mpya na mafuta, navyo vitajibu kwa Yezreeli. 23Nitampanda katika nchi kwa ajili yangu mwenyewe; nami nitaonyesha pendo langu kwake yule ambaye nilimwita, ‘Si mpenzi wangu.*’ Nitawaambia wale walioitwa, ‘Sio watu wangu,’* ‘Ninyi ni watu wangu’; nao watasema, ‘Wewe ndiwe Mungu wangu.’ ”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.