Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mimi ndiye niliyemfundisha Efraimu kutembea, nikiwashika mikono; lakini hawakutambua kuwa ni mimi niliyewaponya.

Hosea 11:3 in English

Hosea 11:3 · Berean Standard Bible

It was I who taught Ephraim * to walk, taking them in My arms, but they never realized that it was I who healed them.

Context

1“Wakati Israeli alipokuwa mtoto, nilimpenda, nilimwita mwanangu kutoka Misri. 2Lakini kadiri nilivyomwita Israeli, ndivyo walivyokwenda mbali nami. Walitoa dhabihu kwa Mabaali na kufukiza uvumba kwa vinyago. 3Mimi ndiye niliyemfundisha Efraimu kutembea, nikiwashika mikono; lakini hawakutambua kuwa ni mimi niliyewaponya. 4Niliwaongoza kwa kamba za huruma ya kibinadamu, kwa vifungo vya upendo; niliondoa nira shingoni mwao nami nikainama kuwalisha. 5“Je, hawatarudi Misri, nayo Ashuru haitawatawala kwa sababu wamekataa kutubu?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.