Waebrania 6:3
Hebrews 6:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mungu akitujalia tutafanya hivyo.
Hebrews 6:3 in English
Hebrews 6:3 · Berean Standard Bible
And this we will do, if God permits.
Context
1Kwa hiyo, tukiachana na mafundisho yale ya awali kuhusu Kristo na tukisonga mbele ili tufikie utimilifu, sio kuweka tena msingi wa mafundisho ya kuzitubia kazi zisizo na uhai na imani katika Mungu, 2mafundisho kuhusu aina za ubatizo, kuwekea watu mikono, ufufuo wa wafu, na hukumu ya milele. 3Mungu akitujalia tutafanya hivyo. 4Kwa kuwa ni vigumu kwa wale ambao wakati fulani walishapata nuru, ambao walishaonja kipawa cha mbinguni, ambao wamekwisha kushiriki katika Roho Mtakatifu, 5ambao wameonja uzuri wa Neno la Mungu na nguvu za wakati ujao,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.