Native Bible

Hebrews 6:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa kuwa ni vigumu kwa wale ambao wakati fulani walishapata nuru, ambao walishaonja kipawa cha mbinguni, ambao wamekwisha kushiriki katika Roho Mtakatifu,

Hebrews 6:4 in English

Hebrews 6:4 · Berean Standard Bible

It is impossible for those who have once been enlightened, who have tasted the heavenly gift, who have shared in the Holy Spirit,

Context

2mafundisho kuhusu aina za ubatizo, kuwekea watu mikono, ufufuo wa wafu, na hukumu ya milele. 3Mungu akitujalia tutafanya hivyo. 4Kwa kuwa ni vigumu kwa wale ambao wakati fulani walishapata nuru, ambao walishaonja kipawa cha mbinguni, ambao wamekwisha kushiriki katika Roho Mtakatifu, 5ambao wameonja uzuri wa Neno la Mungu na nguvu za wakati ujao, 6kisha wakianguka, kuwarejesha tena katika toba. Kwa kuwa wanamsulubisha Mwana wa Mungu mara ya pili na kumdhalilisha hadharani, nayo ikawa hasara kwao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.