Native Bible

Hebrews 6:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ambao wameonja uzuri wa Neno la Mungu na nguvu za wakati ujao,

Hebrews 6:5 in English

Hebrews 6:5 · Berean Standard Bible

who have tasted the goodness of the word of God and the powers of the coming age—

Context

3Mungu akitujalia tutafanya hivyo. 4Kwa kuwa ni vigumu kwa wale ambao wakati fulani walishapata nuru, ambao walishaonja kipawa cha mbinguni, ambao wamekwisha kushiriki katika Roho Mtakatifu, 5ambao wameonja uzuri wa Neno la Mungu na nguvu za wakati ujao, 6kisha wakianguka, kuwarejesha tena katika toba. Kwa kuwa wanamsulubisha Mwana wa Mungu mara ya pili na kumdhalilisha hadharani, nayo ikawa hasara kwao. 7Ardhi ile ipokeayo mvua inyeshayo juu yake mara kwa mara hutoa mazao yanayowanufaisha wale ambao kwa ajili yao yalimwa, nayo nchi hiyo hupokea baraka kutoka kwa Mungu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.