Waebrania 6:14
Hebrews 6:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
akisema, “Hakika nitakubariki na kukupa wazao wengi.”
Hebrews 6:14 in English
Hebrews 6:14 · Berean Standard Bible
saying, “I will surely bless you and multiply your descendants.”*
Context
12ili msije mkawa wavivu, bali mpate kuwaiga wale ambao kwa imani na saburi hurithi zile ahadi. 13Mungu alipompa Abrahamu ahadi yake, kwa kuwa hakuwepo mwingine aliyekuwa mkuu kuliko yeye ambaye angeweza kuapa kwa jina lake, aliapa kwa nafsi yake, 14akisema, “Hakika nitakubariki na kukupa wazao wengi.” 15Abrahamu naye, baada ya kungoja kwa saburi, alipokea kile kilichoahidiwa. 16Wanadamu huapa kwa yeye aliye mkuu kuwaliko, nacho kiapo hicho huthibitisha kile kilichosemwa na hivyo humaliza mabishano yote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.