Native Bible

Hebrews 10:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa sababu haiwezekani damu ya mafahali na mbuzi kuondoa dhambi.

Hebrews 10:4 in English

Hebrews 10:4 · Berean Standard Bible

because it is impossible for the blood of bulls and goats to take away sins.

Context

2Kama dhabihu hizo zingeweza kuwakamilisha, hazingeendelea kutolewa tena. Kwa kuwa hao waabuduo wangekuwa wametakaswa mara moja tu, wala wasingejiona tena kuwa na dhambi. 3Lakini zile dhabihu zilikuwa ukumbusho wa dhambi kila mwaka, 4kwa sababu haiwezekani damu ya mafahali na mbuzi kuondoa dhambi. 5Kwa hiyo, Kristo alipokuja duniani, alisema: “Dhabihu na sadaka hukuzitaka, bali mwili uliniandalia; 6sadaka za kuteketezwa na za dhambi hukupendezwa nazo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.