Waebrania 10:5
Hebrews 10:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo, Kristo alipokuja duniani, alisema: “Dhabihu na sadaka hukuzitaka, bali mwili uliniandalia;
Hebrews 10:5 in English
Hebrews 10:5 · Berean Standard Bible
Therefore, when Christ came into the world, He said: “Sacrifice and offering You did not desire, but a body You prepared for Me.
Context
3Lakini zile dhabihu zilikuwa ukumbusho wa dhambi kila mwaka, 4kwa sababu haiwezekani damu ya mafahali na mbuzi kuondoa dhambi. 5Kwa hiyo, Kristo alipokuja duniani, alisema:
“Dhabihu na sadaka hukuzitaka,
bali mwili uliniandalia; 6sadaka za kuteketezwa na za dhambi
hukupendezwa nazo. 7Ndipo niliposema, ‘Mimi hapa, nimekuja,
imeandikwa kunihusu katika kitabu:
Nimekuja kuyafanya mapenzi yako, Ee Mungu.’ ”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.