Native Bible

Hebrews 10:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

sadaka za kuteketezwa na za dhambi hukupendezwa nazo.

Hebrews 10:6 in English

Hebrews 10:6 · Berean Standard Bible

In burnt offerings and sin offerings You took no delight.

Context

4kwa sababu haiwezekani damu ya mafahali na mbuzi kuondoa dhambi. 5Kwa hiyo, Kristo alipokuja duniani, alisema: “Dhabihu na sadaka hukuzitaka, bali mwili uliniandalia; 6sadaka za kuteketezwa na za dhambi hukupendezwa nazo. 7Ndipo niliposema, ‘Mimi hapa, nimekuja, imeandikwa kunihusu katika kitabu: Nimekuja kuyafanya mapenzi yako, Ee Mungu.’ ” 8Kwanza alisema, “Dhabihu na sadaka, sadaka za kuteketezwa na za dhambi hukuzitaka, wala hukupendezwa nazo” (ingawa sheria iliagiza zitolewe).

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.