Native Bible

Hebrews 10:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini zile dhabihu zilikuwa ukumbusho wa dhambi kila mwaka,

Hebrews 10:3 in English

Hebrews 10:3 · Berean Standard Bible

Instead, those sacrifices are an annual reminder of sins,

Context

1Sheria ni kivuli tu cha mambo mema yajayo, wala si uhalisi wa mambo yenyewe. Kwa sababu hii, haiwezekani kamwe kwa njia ya dhabihu zitolewazo mwaka hadi mwaka kuwakamilisha wale wanaokaribia ili kuabudu. 2Kama dhabihu hizo zingeweza kuwakamilisha, hazingeendelea kutolewa tena. Kwa kuwa hao waabuduo wangekuwa wametakaswa mara moja tu, wala wasingejiona tena kuwa na dhambi. 3Lakini zile dhabihu zilikuwa ukumbusho wa dhambi kila mwaka, 4kwa sababu haiwezekani damu ya mafahali na mbuzi kuondoa dhambi. 5Kwa hiyo, Kristo alipokuja duniani, alisema: “Dhabihu na sadaka hukuzitaka, bali mwili uliniandalia;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.