Native Bible

Hebrews 10:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha aongeza kusema: “Dhambi zao na kutokutii kwao sitakumbuka tena.”

Hebrews 10:17 in English

Hebrews 10:17 · Berean Standard Bible

Then He adds: “Their sins and lawless acts I will remember no more.”*

Context

15Pia Roho Mtakatifu anatushuhudia kuhusu jambo hili. Kwanza anasema: 16“Hili ndilo Agano nitakalofanya nao baada ya siku hizo, asema Bwana. Nitaziweka sheria zangu mioyoni mwao, na kuziandika katika nia zao.” 17Kisha aongeza kusema: “Dhambi zao na kutokutii kwao sitakumbuka tena.” 18Basi haya yakiisha kusamehewa, hakuna tena dhabihu yoyote inayotolewa kwa ajili ya dhambi. 19Kwa hiyo, ndugu zangu, kwa kuwa tunao ujasiri wa kupaingia Patakatifu pa Patakatifu kwa damu ya Yesu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.