Waebrania 10:19
Hebrews 10:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo, ndugu zangu, kwa kuwa tunao ujasiri wa kupaingia Patakatifu pa Patakatifu kwa damu ya Yesu,
Hebrews 10:19 in English
Hebrews 10:19 · Berean Standard Bible
Therefore, brothers, since we have confidence to enter the Most Holy Place * by the blood of Jesus,
Context
17Kisha aongeza kusema:
“Dhambi zao na kutokutii kwao
sitakumbuka tena.” 18Basi haya yakiisha kusamehewa, hakuna tena dhabihu yoyote inayotolewa kwa ajili ya dhambi. 19Kwa hiyo, ndugu zangu, kwa kuwa tunao ujasiri wa kupaingia Patakatifu pa Patakatifu kwa damu ya Yesu, 20kwa njia mpya iliyo hai tuliyofunguliwa kwa ajili yetu kupitia kwenye lile pazia, yaani, mwili wake, 21basi kwa kuwa tunaye Kuhani Mkuu juu ya nyumba ya Mungu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.