Waebrania 10:21
Hebrews 10:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
basi kwa kuwa tunaye Kuhani Mkuu juu ya nyumba ya Mungu,
Hebrews 10:21 in English
Hebrews 10:21 · Berean Standard Bible
and since we have a great priest over the house of God,
Context
19Kwa hiyo, ndugu zangu, kwa kuwa tunao ujasiri wa kupaingia Patakatifu pa Patakatifu kwa damu ya Yesu, 20kwa njia mpya iliyo hai tuliyofunguliwa kwa ajili yetu kupitia kwenye lile pazia, yaani, mwili wake, 21basi kwa kuwa tunaye Kuhani Mkuu juu ya nyumba ya Mungu, 22sisi na tumkaribie Mungu kwa moyo mnyofu kwa imani timilifu, mioyo yetu ikiwa imenyunyizwa damu ya Kristo na kuwa safi kutokana na dhamiri mbaya nayo miili yetu ikiwa imeoshwa kwa maji safi. 23Tushike kwa uthabiti lile tumaini la ukiri wetu bila kuyumbayumba, kwa maana yeye aliyeahidi ni mwaminifu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.