Native Bible

Hebrews 10:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Hili ndilo Agano nitakalofanya nao baada ya siku hizo, asema Bwana. Nitaziweka sheria zangu mioyoni mwao, na kuziandika katika nia zao.”

Hebrews 10:16 in English

Hebrews 10:16 · Berean Standard Bible

“This is the covenant I will make with them after those days, declares the Lord. I will put My laws in their hearts and inscribe them on their minds.”*

Context

14kwa sababu kwa dhabihu moja amewafanya kuwa wakamilifu milele wale wote wanaotakaswa. 15Pia Roho Mtakatifu anatushuhudia kuhusu jambo hili. Kwanza anasema: 16“Hili ndilo Agano nitakalofanya nao baada ya siku hizo, asema Bwana. Nitaziweka sheria zangu mioyoni mwao, na kuziandika katika nia zao.” 17Kisha aongeza kusema: “Dhambi zao na kutokutii kwao sitakumbuka tena.” 18Basi haya yakiisha kusamehewa, hakuna tena dhabihu yoyote inayotolewa kwa ajili ya dhambi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.