Waebrania 10:15
Hebrews 10:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Pia Roho Mtakatifu anatushuhudia kuhusu jambo hili. Kwanza anasema:
Hebrews 10:15 in English
Hebrews 10:15 · Berean Standard Bible
The Holy Spirit also testifies to us about this. First He says:
Context
13Tangu wakati huo anangoja mpaka adui zake wawekwe chini ya miguu yake, 14kwa sababu kwa dhabihu moja amewafanya kuwa wakamilifu milele wale wote wanaotakaswa. 15Pia Roho Mtakatifu anatushuhudia kuhusu jambo hili. Kwanza anasema: 16“Hili ndilo Agano nitakalofanya nao
baada ya siku hizo, asema Bwana.
Nitaziweka sheria zangu mioyoni mwao,
na kuziandika katika nia zao.” 17Kisha aongeza kusema:
“Dhambi zao na kutokutii kwao
sitakumbuka tena.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.