Native Bible

Hebrews 10:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tangu wakati huo anangoja mpaka adui zake wawekwe chini ya miguu yake,

Hebrews 10:13 in English

Hebrews 10:13 · Berean Standard Bible

Since that time, He waits for His enemies to be made a footstool for His feet,

Context

11Kila kuhani husimama siku kwa siku akifanya huduma yake ya ibada, na kutoa tena na tena dhabihu zile zile ambazo haziwezi kamwe kuondoa dhambi. 12Lakini huyu kuhani akiisha kutoa dhabihu moja kwa ajili ya dhambi kwa wakati wote, aliketi mkono wa kuume wa Mungu. 13Tangu wakati huo anangoja mpaka adui zake wawekwe chini ya miguu yake, 14kwa sababu kwa dhabihu moja amewafanya kuwa wakamilifu milele wale wote wanaotakaswa. 15Pia Roho Mtakatifu anatushuhudia kuhusu jambo hili. Kwanza anasema:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.