Mwanzo 9:27
Genesis 9:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mungu na apanue mipaka ya Yafethi; Yafethi na aishi katika mahema ya Shemu, na Kanaani na awe mtumwa wake.”
Genesis 9:27 in English
Genesis 9:27 · Berean Standard Bible
May God expand the territory of Japheth;* may he dwell in the tents of Shem, and may Canaan be his servant.”
Context
25akasema,
“Alaaniwe Kanaani!
Atakuwa mtumwa wa chini sana
kuliko watumwa wote kwa ndugu zake.” 26Pia akasema,
“Abarikiwe Bwana, Mungu wa Shemu!
Kanaani na awe mtumwa wa Shemu. 27Mungu na apanue mipaka ya Yafethi;
Yafethi na aishi katika mahema ya Shemu,
na Kanaani na awe mtumwa wake.” 28Baada ya gharika Noa aliishi miaka 350. 29Noa alikuwa na jumla ya miaka 950, ndipo akafa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.