Native Bible

Genesis 9:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Noa alikuwa na jumla ya miaka 950, ndipo akafa.

Genesis 9:29 in English

Genesis 9:29 · Berean Standard Bible

So Noah lived a total of 950 years, and then he died.

Context

27Mungu na apanue mipaka ya Yafethi; Yafethi na aishi katika mahema ya Shemu, na Kanaani na awe mtumwa wake.” 28Baada ya gharika Noa aliishi miaka 350. 29Noa alikuwa na jumla ya miaka 950, ndipo akafa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.