Native Bible

Genesis 9:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baada ya gharika Noa aliishi miaka 350.

Genesis 9:28 in English

Genesis 9:28 · Berean Standard Bible

After the flood, Noah lived 350 years.

Context

26Pia akasema, “Abarikiwe Bwana, Mungu wa Shemu! Kanaani na awe mtumwa wa Shemu. 27Mungu na apanue mipaka ya Yafethi; Yafethi na aishi katika mahema ya Shemu, na Kanaani na awe mtumwa wake.” 28Baada ya gharika Noa aliishi miaka 350. 29Noa alikuwa na jumla ya miaka 950, ndipo akafa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.