Mwanzo 9:26
Genesis 9:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Pia akasema, “Abarikiwe Bwana, Mungu wa Shemu! Kanaani na awe mtumwa wa Shemu.
Genesis 9:26 in English
Genesis 9:26 · Berean Standard Bible
He also declared: “Blessed be the LORD, the God of Shem! May Canaan be the servant of Shem.
Context
24Noa alipolevuka kutoka kwenye mvinyo wake na kujua lile ambalo mwanawe mdogo kuliko wote alilokuwa amemtendea, 25akasema,
“Alaaniwe Kanaani!
Atakuwa mtumwa wa chini sana
kuliko watumwa wote kwa ndugu zake.” 26Pia akasema,
“Abarikiwe Bwana, Mungu wa Shemu!
Kanaani na awe mtumwa wa Shemu. 27Mungu na apanue mipaka ya Yafethi;
Yafethi na aishi katika mahema ya Shemu,
na Kanaani na awe mtumwa wake.” 28Baada ya gharika Noa aliishi miaka 350.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.