Mwanzo 8:6
Genesis 8:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baada ya siku arobaini Noa akafungua dirisha alilokuwa amelifanya katika safina
Genesis 8:6 in English
Genesis 8:6 · Berean Standard Bible
After forty days Noah opened the window he had made in the ark
Context
4katika siku ya kumi na saba ya mwezi wa saba, safina ikatua katika milima ya Ararati. 5Maji yakaendelea kupungua hadi mwezi wa kumi, na siku ya kwanza ya mwezi wa kumi, vilele vya milima vikaonekana. 6Baada ya siku arobaini Noa akafungua dirisha alilokuwa amelifanya katika safina 7na akamtoa kunguru, akawa akiruka kwenda na kurudi mpaka maji yalipokwisha kukauka juu ya nchi. 8Kisha akamtoa hua ili aone kama maji yameondoka juu ya uso wa ardhi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.