Native Bible

Genesis 8:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

katika siku ya kumi na saba ya mwezi wa saba, safina ikatua katika milima ya Ararati.

Genesis 8:4 in English

Genesis 8:4 · Berean Standard Bible

On the seventeenth day of the seventh month, the ark came to rest on the mountains of Ararat.

Context

2Zile chemchemi zilizo chini sana ya ardhi pamoja na malango ya mafuriko ya mbinguni yakawa yamefungwa nayo mvua ikawa imekoma kunyesha kutoka angani. 3Maji yakaendelea kupungua taratibu katika nchi. Kunako mwisho wa siku ya 150, maji yalikuwa yamepungua, 4katika siku ya kumi na saba ya mwezi wa saba, safina ikatua katika milima ya Ararati. 5Maji yakaendelea kupungua hadi mwezi wa kumi, na siku ya kwanza ya mwezi wa kumi, vilele vya milima vikaonekana. 6Baada ya siku arobaini Noa akafungua dirisha alilokuwa amelifanya katika safina

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.