Native Bible

Genesis 8:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Maji yakaendelea kupungua hadi mwezi wa kumi, na siku ya kwanza ya mwezi wa kumi, vilele vya milima vikaonekana.

Genesis 8:5 in English

Genesis 8:5 · Berean Standard Bible

And the waters continued to recede until the tenth month, and on the first day of the tenth month the tops of the mountains became visible.

Context

3Maji yakaendelea kupungua taratibu katika nchi. Kunako mwisho wa siku ya 150, maji yalikuwa yamepungua, 4katika siku ya kumi na saba ya mwezi wa saba, safina ikatua katika milima ya Ararati. 5Maji yakaendelea kupungua hadi mwezi wa kumi, na siku ya kwanza ya mwezi wa kumi, vilele vya milima vikaonekana. 6Baada ya siku arobaini Noa akafungua dirisha alilokuwa amelifanya katika safina 7na akamtoa kunguru, akawa akiruka kwenda na kurudi mpaka maji yalipokwisha kukauka juu ya nchi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.