Native Bible

Genesis 49:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Simeoni na Lawi ni wana ndugu: panga zao ni silaha za jeuri.

Genesis 49:5 in English

Genesis 49:5 · Berean Standard Bible

Simeon and Levi are brothers; their swords * are weapons of violence.

Context

3“Reubeni, wewe ni mzaliwa wangu wa kwanza, nguvu zangu, tunda la kwanza la nguvu zangu, umepita kwa heshima, umepita kwa uwezo. 4Usiyezuiwa kama maji, basi hutakuwa mkuu tena, kwa kuwa ulipanda kwenye kitanda cha baba yako, kwenye kitanda changu na kukinajisi. 5“Simeoni na Lawi ni wana ndugu: panga zao ni silaha za jeuri. 6Mimi na nisiingie katika baraza lao, nami nisiunganike katika kusanyiko lao, kwa kuwa wamewaua watu katika hasira yao, walikata mishipa ya miguu ya mafahali kama walivyopenda. 7Hasira yao na ilaaniwe, kwa kuwa ni kali mno, nayo ghadhabu yao ni ya ukatili! Nitawatawanya katika Yakobo Na kuwasambaza katika Israeli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.