Mwanzo 49:7
Genesis 49:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hasira yao na ilaaniwe, kwa kuwa ni kali mno, nayo ghadhabu yao ni ya ukatili! Nitawatawanya katika Yakobo Na kuwasambaza katika Israeli.
Genesis 49:7 in English
Genesis 49:7 · Berean Standard Bible
Cursed be their anger, for it is strong, and their wrath, for it is cruel! I will disperse them in Jacob and scatter them in Israel.
Context
5“Simeoni na Lawi ni wana ndugu:
panga zao ni silaha za jeuri. 6Mimi na nisiingie katika baraza lao,
nami nisiunganike katika kusanyiko lao,
kwa kuwa wamewaua watu katika hasira yao,
walikata mishipa ya miguu ya mafahali
kama walivyopenda. 7Hasira yao na ilaaniwe, kwa kuwa ni kali mno,
nayo ghadhabu yao ni ya ukatili!
Nitawatawanya katika Yakobo
Na kuwasambaza katika Israeli. 8“Yuda, ndugu zako watakusifu;
mkono wako utakuwa shingoni mwa adui zako;
wana wa baba yako watakusujudia. 9Ee Yuda, wewe ni mwana simba;
unarudi toka mawindoni, mwanangu.
Kama simba hunyemelea na kulala chini,
kama simba jike: nani athubutuye kumwamsha?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.