Native Bible

Genesis 49:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Reubeni, wewe ni mzaliwa wangu wa kwanza, nguvu zangu, tunda la kwanza la nguvu zangu, umepita kwa heshima, umepita kwa uwezo.

Genesis 49:3 in English

Genesis 49:3 · Berean Standard Bible

Reuben, you are my firstborn, my might, and the beginning of my strength, excelling in honor, excelling in power.

Context

1Ndipo Yakobo akawaita wanawe na kusema: “Kusanyikeni kunizunguka ili niweze kuwaambia lile litakalowatokea siku zijazo. 2“Kusanyikeni na msikilize, enyi wana wa Yakobo, msikilizeni baba yenu Israeli. 3“Reubeni, wewe ni mzaliwa wangu wa kwanza, nguvu zangu, tunda la kwanza la nguvu zangu, umepita kwa heshima, umepita kwa uwezo. 4Usiyezuiwa kama maji, basi hutakuwa mkuu tena, kwa kuwa ulipanda kwenye kitanda cha baba yako, kwenye kitanda changu na kukinajisi. 5“Simeoni na Lawi ni wana ndugu: panga zao ni silaha za jeuri.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.