Native Bible

Genesis 49:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Kusanyikeni na msikilize, enyi wana wa Yakobo, msikilizeni baba yenu Israeli.

Genesis 49:2 in English

Genesis 49:2 · Berean Standard Bible

Come together and listen, O sons of Jacob; listen to your father Israel.

Context

1Ndipo Yakobo akawaita wanawe na kusema: “Kusanyikeni kunizunguka ili niweze kuwaambia lile litakalowatokea siku zijazo. 2“Kusanyikeni na msikilize, enyi wana wa Yakobo, msikilizeni baba yenu Israeli. 3“Reubeni, wewe ni mzaliwa wangu wa kwanza, nguvu zangu, tunda la kwanza la nguvu zangu, umepita kwa heshima, umepita kwa uwezo. 4Usiyezuiwa kama maji, basi hutakuwa mkuu tena, kwa kuwa ulipanda kwenye kitanda cha baba yako, kwenye kitanda changu na kukinajisi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.