Mwanzo 49:1
Genesis 49:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo Yakobo akawaita wanawe na kusema: “Kusanyikeni kunizunguka ili niweze kuwaambia lile litakalowatokea siku zijazo.
Genesis 49:1 in English
Genesis 49:1 · Berean Standard Bible
Then Jacob called for his sons and said, “Gather around so that I can tell you what will happen to you in the days to come:
Context
1Ndipo Yakobo akawaita wanawe na kusema: “Kusanyikeni kunizunguka ili niweze kuwaambia lile litakalowatokea siku zijazo. 2“Kusanyikeni na msikilize, enyi wana wa Yakobo,
msikilizeni baba yenu Israeli. 3“Reubeni, wewe ni mzaliwa wangu wa kwanza,
nguvu zangu, tunda la kwanza la nguvu zangu,
umepita kwa heshima, umepita kwa uwezo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.