Native Bible

Genesis 4:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ada akamzaa Yabali ambaye ni baba wa wale walioishi katika mahema na kufuga wanyama.

Genesis 4:20 in English

Genesis 4:20 · Berean Standard Bible

Adah gave birth to Jabal; he was the father of those who dwell in tents and raise livestock.

Context

18Enoki akamzaa Iradi, Iradi akamzaa Mehuyaeli, Mehuyaeli akamzaa Methushaeli, na Methushaeli akamzaa Lameki. 19Lameki alioa wanawake wawili, mmoja aliitwa Ada, na mwingine Sila. 20Ada akamzaa Yabali ambaye ni baba wa wale walioishi katika mahema na kufuga wanyama. 21Kaka yake aliitwa Yubali, aliyekuwa baba wa wote wapigao zeze na filimbi. 22Pia Sila alikuwa na mtoto wa kiume aliyeitwa Tubali-Kaini ambaye alifua vifaa vya aina mbalimbali vya shaba na chuma. Naama alikuwa dada wa Tubali-Kaini.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.