Mwanzo 38:5
Genesis 38:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akamzaa mwana mwingine tena, akamwita Shela. Huyu alimzalia mahali paitwapo Kezibu.
Genesis 38:5 in English
Genesis 38:5 · Berean Standard Bible
Then she gave birth to another son and named him Shelah; it was at Chezib that she gave birth to him.
Context
3akapata mimba, akamzaa mwana, ambaye alimwita Eri. 4Akapata mimba tena, akamzaa mwana na kumwita Onani. 5Akamzaa mwana mwingine tena, akamwita Shela. Huyu alimzalia mahali paitwapo Kezibu. 6Yuda akampatia Eri, mzaliwa wake wa kwanza, mke aitwaye Tamari. 7Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu machoni pa Bwana, kwa hiyo Bwana akamuua.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.