Native Bible

Genesis 38:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akapata mimba tena, akamzaa mwana na kumwita Onani.

Genesis 38:4 in English

Genesis 38:4 · Berean Standard Bible

Again she conceived and gave birth to a son, and she named him Onan.

Context

2Huko Yuda akakutana na binti wa Kikanaani aitwaye Shua, akamwoa na akakutana naye kimwili, 3akapata mimba, akamzaa mwana, ambaye alimwita Eri. 4Akapata mimba tena, akamzaa mwana na kumwita Onani. 5Akamzaa mwana mwingine tena, akamwita Shela. Huyu alimzalia mahali paitwapo Kezibu. 6Yuda akampatia Eri, mzaliwa wake wa kwanza, mke aitwaye Tamari.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.