Mwanzo 38:6
Genesis 38:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yuda akampatia Eri, mzaliwa wake wa kwanza, mke aitwaye Tamari.
Genesis 38:6 in English
Genesis 38:6 · Berean Standard Bible
Now Judah acquired a wife for Er, his firstborn, and her name was Tamar.
Context
4Akapata mimba tena, akamzaa mwana na kumwita Onani. 5Akamzaa mwana mwingine tena, akamwita Shela. Huyu alimzalia mahali paitwapo Kezibu. 6Yuda akampatia Eri, mzaliwa wake wa kwanza, mke aitwaye Tamari. 7Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu machoni pa Bwana, kwa hiyo Bwana akamuua. 8Kisha Yuda akamwambia Onani, “Kutana kimwili na mke wa ndugu yako, na utimize wajibu wako kwake kama mke wa ndugu yako, ili umpatie ndugu yako uzao.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.