Native Bible

Genesis 37:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Reubeni aliporudi kutazama kwenye lile shimo na kuona kwamba Yosefu hayupo, alirarua nguo zake.

Genesis 37:29 in English

Genesis 37:29 · Berean Standard Bible

When Reuben returned to the pit and saw that Joseph was not there, he tore his clothes,

Context

27Njooni, tumuuze kwa hawa Waishmaeli. Tusimguse, kwa kuwa hata hivyo yeye ni ndugu yetu, nyama yetu na damu yetu wenyewe.” Ndugu zake wakakubali. 28Kwa hiyo wale wafanyabiashara Wamidiani walipofika pale, ndugu zake wakamtoa Yosefu kutoka kwenye lile shimo, na kumuuza kwa shekeli ishirini* za fedha kwa wale Waishmaeli, ambao walimpeleka Misri. 29Reubeni aliporudi kutazama kwenye lile shimo na kuona kwamba Yosefu hayupo, alirarua nguo zake. 30Akawarudia ndugu zake na kusema, “Kijana hayuko mle! Nielekee wapi sasa?” 31Kisha wakalichukua lile joho la Yosefu, wakachinja mbuzi na kulichovya katika damu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.