Mwanzo 36:9
Genesis 36:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hawa ndio wazao wa Esau, baba wa Waedomu, katika nchi ya kilima cha Seiri.
Genesis 36:9 in English
Genesis 36:9 · Berean Standard Bible
This is the account of Esau, the father of the Edomites, in the area of Mount Seir.
Context
7Mali zao zilikuwa nyingi sana kiasi kwamba haikuwa rahisi wao kuishi pamoja, nchi waliyokuwa wakiishi isingewatosha wote kwa ajili ya mifugo yao. 8Kwa hiyo Esau (ambaye ni Edomu) aliishi katika nchi ya kilima huko Seiri. 9Hawa ndio wazao wa Esau, baba wa Waedomu, katika nchi ya kilima cha Seiri. 10Haya ndiyo majina ya wana wa Esau:
Elifazi, mwana wa Esau ambaye mkewe Ada alimzalia; na Reueli, mwana wa Esau ambaye mkewe Basemathi alimzalia. 11Wana wa Elifazi ni:
Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.