Mwanzo 36:11
Genesis 36:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Elifazi ni: Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi.
Genesis 36:11 in English
Genesis 36:11 · Berean Standard Bible
The sons of Eliphaz were Teman, Omar, Zepho, Gatam, and Kenaz.
Context
9Hawa ndio wazao wa Esau, baba wa Waedomu, katika nchi ya kilima cha Seiri. 10Haya ndiyo majina ya wana wa Esau:
Elifazi, mwana wa Esau ambaye mkewe Ada alimzalia; na Reueli, mwana wa Esau ambaye mkewe Basemathi alimzalia. 11Wana wa Elifazi ni:
Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi. 12Elifazi mwana wa Esau alikuwa pia na suria aliyeitwa Timna, ambaye alimzalia Amaleki. Hawa ndio waliokuwa wajukuu wa Ada mke wa Esau. 13Wana wa Reueli ni:
Nahathi, Zera, Shama na Miza. Hawa ndio waliokuwa wajukuu wa Basemathi mkewe Esau.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.