Mwanzo 30:24
Genesis 30:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akamwita Yosefu* na kusema, “Bwana na anipe mwana mwingine.”
Genesis 30:24 in English
Genesis 30:24 · Berean Standard Bible
She named him Joseph,* and said, “May the LORD add to me another son.”
Context
22Ndipo Mungu akamkumbuka Raheli, akasikia maombi yake na akafungua tumbo lake. 23Akapata mimba na akamzaa mwana na kusema, “Mungu ameniondolea aibu yangu.” 24Akamwita Yosefu* na kusema, “Bwana na anipe mwana mwingine.” 25Baada ya Raheli kumzaa Yosefu, Yakobo akamwambia Labani, “Nipe ruhusa nirudi katika nchi yangu. 26Nipe wake zangu na watoto, ambao nimetumika kuwapata, nami niende zangu. Unajua ni kazi kiasi gani ambayo nimekufanyia.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.