Mwanzo 30:23
Genesis 30:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akapata mimba na akamzaa mwana na kusema, “Mungu ameniondolea aibu yangu.”
Genesis 30:23 in English
Genesis 30:23 · Berean Standard Bible
and she conceived and gave birth to a son. “God has taken away my shame,” she said.
Context
21Baadaye akamzaa mtoto wa kike akamwita Dina.* 22Ndipo Mungu akamkumbuka Raheli, akasikia maombi yake na akafungua tumbo lake. 23Akapata mimba na akamzaa mwana na kusema, “Mungu ameniondolea aibu yangu.” 24Akamwita Yosefu* na kusema, “Bwana na anipe mwana mwingine.” 25Baada ya Raheli kumzaa Yosefu, Yakobo akamwambia Labani, “Nipe ruhusa nirudi katika nchi yangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.