Mwanzo 30:22
Genesis 30:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo Mungu akamkumbuka Raheli, akasikia maombi yake na akafungua tumbo lake.
Genesis 30:22 in English
Genesis 30:22 · Berean Standard Bible
Then God remembered Rachel. He listened to her and opened her womb,
Context
20Ndipo Lea aliposema, “Mungu amenizawadia kwa zawadi ya thamani sana. Wakati huu mume wangu ataniheshimu kwa sababu nimemzalia wana sita.” Kwa hiyo akamwita Zabuloni.* 21Baadaye akamzaa mtoto wa kike akamwita Dina.* 22Ndipo Mungu akamkumbuka Raheli, akasikia maombi yake na akafungua tumbo lake. 23Akapata mimba na akamzaa mwana na kusema, “Mungu ameniondolea aibu yangu.” 24Akamwita Yosefu* na kusema, “Bwana na anipe mwana mwingine.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.