Mwanzo 30:20
Genesis 30:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo Lea aliposema, “Mungu amenizawadia kwa zawadi ya thamani sana. Wakati huu mume wangu ataniheshimu kwa sababu nimemzalia wana sita.” Kwa hiyo akamwita Zabuloni.*
Genesis 30:20 in English
Genesis 30:20 · Berean Standard Bible
“God has given me a good gift,” she said. “This time my husband will honor me, because I have borne him six sons.” And she named him Zebulun.*
Context
18Ndipo Lea akasema, “Mungu amenizawadia kwa kumpa mume wangu mtumishi wangu wa kike.” Kwa hiyo akamwita Isakari.* 19Lea akapata mimba tena akamzalia Yakobo mwana wa sita. 20Ndipo Lea aliposema, “Mungu amenizawadia kwa zawadi ya thamani sana. Wakati huu mume wangu ataniheshimu kwa sababu nimemzalia wana sita.” Kwa hiyo akamwita Zabuloni.* 21Baadaye akamzaa mtoto wa kike akamwita Dina.* 22Ndipo Mungu akamkumbuka Raheli, akasikia maombi yake na akafungua tumbo lake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.