Native Bible

Genesis 30:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lea akapata mimba tena akamzalia Yakobo mwana wa sita.

Genesis 30:19 in English

Genesis 30:19 · Berean Standard Bible

Again Leah conceived and bore a sixth son to Jacob.

Context

17Mungu akamsikiliza Lea, naye akapata mimba akamzalia Yakobo mwana wa tano. 18Ndipo Lea akasema, “Mungu amenizawadia kwa kumpa mume wangu mtumishi wangu wa kike.” Kwa hiyo akamwita Isakari.* 19Lea akapata mimba tena akamzalia Yakobo mwana wa sita. 20Ndipo Lea aliposema, “Mungu amenizawadia kwa zawadi ya thamani sana. Wakati huu mume wangu ataniheshimu kwa sababu nimemzalia wana sita.” Kwa hiyo akamwita Zabuloni.* 21Baadaye akamzaa mtoto wa kike akamwita Dina.*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.