Native Bible

Genesis 30:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baada ya Raheli kumzaa Yosefu, Yakobo akamwambia Labani, “Nipe ruhusa nirudi katika nchi yangu.

Genesis 30:25 in English

Genesis 30:25 · Berean Standard Bible

Now after Rachel had given birth to Joseph, Jacob said to Laban, “Send me on my way so I can return to my homeland.

Context

23Akapata mimba na akamzaa mwana na kusema, “Mungu ameniondolea aibu yangu.” 24Akamwita Yosefu* na kusema, “Bwana na anipe mwana mwingine.” 25Baada ya Raheli kumzaa Yosefu, Yakobo akamwambia Labani, “Nipe ruhusa nirudi katika nchi yangu. 26Nipe wake zangu na watoto, ambao nimetumika kuwapata, nami niende zangu. Unajua ni kazi kiasi gani ambayo nimekufanyia.” 27Lakini Labani akamwambia, “Ikiwa nimepata kibali machoni pako, tafadhali ukae. Nimegundua kwa njia ya uaguzi kwamba Bwana amenibariki kwa sababu yako.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.