Native Bible

Genesis 30:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtumishi wa Lea yaani Zilpa, akamzalia Yakobo mwana.

Genesis 30:10 in English

Genesis 30:10 · Berean Standard Bible

And Leah’s servant Zilpah bore Jacob a son.

Context

8Ndipo Raheli akasema, “Nilikuwa na mashindano makubwa na ndugu yangu, nami nimeshinda.” Kwa hiyo akamwita Naftali.* 9Lea alipoona kuwa amekoma kuzaa watoto, alimchukua mtumishi wake wa kike Zilpa, naye akampa Yakobo awe mke wake. 10Mtumishi wa Lea yaani Zilpa, akamzalia Yakobo mwana. 11Ndipo Lea akasema, “Hii ni bahati nzuri aje!” Kwa hiyo akamwita Gadi. 12Mtumishi wa kike wa Lea akamzalia Yakobo mwana wa pili.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.