Native Bible

Genesis 30:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo Lea akasema, “Hii ni bahati nzuri aje!” Kwa hiyo akamwita Gadi.

Genesis 30:11 in English

Genesis 30:11 · Berean Standard Bible

Then Leah said, “How fortunate!”* So she named him Gad.*

Context

9Lea alipoona kuwa amekoma kuzaa watoto, alimchukua mtumishi wake wa kike Zilpa, naye akampa Yakobo awe mke wake. 10Mtumishi wa Lea yaani Zilpa, akamzalia Yakobo mwana. 11Ndipo Lea akasema, “Hii ni bahati nzuri aje!” Kwa hiyo akamwita Gadi. 12Mtumishi wa kike wa Lea akamzalia Yakobo mwana wa pili. 13Ndipo Lea aliposema, “Jinsi gani nilivyo na furaha! Wanawake wataniita furaha.” Kwa hiyo akamwita Asheri.*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.