Mwanzo 30:12
Genesis 30:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mtumishi wa kike wa Lea akamzalia Yakobo mwana wa pili.
Genesis 30:12 in English
Genesis 30:12 · Berean Standard Bible
When Leah’s servant Zilpah bore Jacob a second son,
Context
10Mtumishi wa Lea yaani Zilpa, akamzalia Yakobo mwana. 11Ndipo Lea akasema, “Hii ni bahati nzuri aje!” Kwa hiyo akamwita Gadi. 12Mtumishi wa kike wa Lea akamzalia Yakobo mwana wa pili. 13Ndipo Lea aliposema, “Jinsi gani nilivyo na furaha! Wanawake wataniita furaha.” Kwa hiyo akamwita Asheri.* 14Wakati wa kuvuna ngano, Reubeni akaenda shambani akakuta tunguja, ambazo alizileta kwa Lea mama yake. Raheli akamwambia Lea, “Tafadhali nakuomba unipe baadhi ya tunguja za mwanao.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.